
YANGA SC YAUNGANA NA KIUNGO WA KAZI KUIKABILI PRISONS
KHALID Aucho kiungo wa Yanga SC ni miongoni mwa wachezaji wa timu hiyo ambao wapo Mbeya kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo wa raudi ya 29 unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Aucho ndani ya Yanga SC amekuwa mhimili eneo la kiungo mkabaji ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Katika mechi zilizopita…