
FOUNTAIN GATE YAIPIGA MKWARA YAGA, HAWATOKI
ISSA Mbuzi, Ofisa Habari wa Fountain Gate ameweka wazi kuwa wapinzani wao Yanga kuelekea mchezo wa mzunguko wa pili Aprili 21 hawatoki kwa kuwa wapo tayari kwa ajili ya kuchukua pointi tatu muhimu.
ISSA Mbuzi, Ofisa Habari wa Fountain Gate ameweka wazi kuwa wapinzani wao Yanga kuelekea mchezo wa mzunguko wa pili Aprili 21 hawatoki kwa kuwa wapo tayari kwa ajili ya kuchukua pointi tatu muhimu.
NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu kama FA ambaye alikuwa ni mgeni rasmi kwenye Jambo Kubwa Kuliko East and Central Africa Aprili 16 2025 amesema kuwa ikiwa yaliyosemwa yatakuwa kwenye utekelezaji yataleta matokeo mazuri na kupunguza matumizi kwenye baadhi ya masuala ya viwanja. Mwinjuma amesema kuwa anaamini Simba SC ina nafasi…
Mabingwa watetezi, Real Madrid wamevuliwa ubingwa wa Ulaya kufuatia kipigo cha jumla cha 5-1 dhidi ya washika Mitutu, Arsenal kwenye robo fainali huku Bayern Munich ikisukumizwa nje ya michuano hiyo kufuatia kipigo cha jumla cha 4-3 dhidi ya Inter Milan. FT: Real Madrid 🇪🇸 1-2 🏴 Arsenal (Agg. 1-5) ⚽ 67’ Vinicius Jr ⚽ 65’…
WABABE wawili ndani ya Ligi namba nne kwa ubora Afrika, Fountain Gate ambayo Ofisa Habari wao ni Issa Mbuzi na Yanga Ofisa Habari ni Ali Kamwe wanatarajia kukutana Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Aprili 21 2025 kwenye mchezo wa ligi ambao ni mzunguko wa pili. Rekodi zinaonyesha kwamba Fountain Gate ni namba mbili kwa timu ambazo…
BAADA ya kutinga hatua ya nusu fainali tayari eneo ambalo timu hizo zitachezwa limewekwa wazi hivyo kila mmoja ameshatambua wapi atakuwa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya fainali. Mabingwa watetezi wa CRDB Federation Cup ni Yanga hawa watacheza na JKT Tanzania, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kwenye msako wa mshindi atakayetinga hatua ya fainali. Ikumbukwe kwamba…
NYOTA wa Stand United, Msenda Senda aliyepachika bao pekee kwa timu hiyo dakika ya 50 ameweka wazi kuwa walikuwa kwenye mchezo mgumu Aprili 15 2025 dhidi ya Yanga na walipambana kutafuta matokeo jambo ambalo halikuwa upande wake na mwisho wakapoteza. Mbali na mchezaji huyo, Issa Mbuzi ameweka wazi kuwa ni madaraja tofauti yamekutana.
BAADA ya Singida Black Stars kutinga hatua ya nusu fainali uongozi umebainisha kuwa utapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Simba ili watinge hatua ya fainali. Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga, Aprili 15 2025 walikata tiketi yakutiga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa mabao 8-1 dhidi…
SHABIKI wa Simba, Kisugu ameweka wazi kuwa hakuna wakumzuia Ellie Mpanzu, Kibu Dennis kwenye kutimiza majukumu yao na wachezaji wanakazi kwenye kutimiza majukumu yao ndani ya uwanja kwa kuwa kila mchezaji anapaswa kutambua kwamba kazi yake ni kuwapa furaha.
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wameandika rekodi yao kuwa timu iliyopata ushindi mkubwa ndani ya dakika 90 katika msako wa hatua ya kutinga nusu fainali. Yanga Aprili 15 2025 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa KMC Complex ulisoma Yanga 8-1 Stand United, inatinga hatua ya…
Unataka kuitwa Bosi wa Mtaa? Cheza Kasino leo ushindi ni rahisi, kupitia michezo ya kasino iliyopo Meridianbet unaweza kujikuta unaibuka na ushindi wa Mamilioni. Jisajili sasa Kuwa moja ya Matajiri wapya. Moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni inayolipa Zaidi ni Wildfire Wins ni mchezo wa kasino wenye safu wima tano zilizopangwa kwenye safu ulalo…
WAJEDA JKT Tanzania wanasubiri mshindi wa mchezo wa hatua ya robo fainali ya Aprili 15 2025 kati ya Yanga dhidi ya Stand United unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. Ikumbukwe kwamba JKT Tanzania inaingia kwenye orodha ya timu pekee iliyoambulia sare mbele ya mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne…
NYOTA wa kikosi cha Azam FC, Pascal Msindo beki wakupanda na kushuka bado hajawa imara kwa sasa kutokana na maumivu ambayo aliyapata kwenye mchezo wa ushindani ndani ya ligi namba nne kwa ubora Afrika. Ilikuwa ni mbele ya Yanga katika mchezo wa Dar Dabi beki huyo alipata maumivu baada ya kuchezewa faulo na beki Kibwana…
MCHAMBUZI wa soka Bongo, Mbwaduke amebainisha kuwa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids inatengeneza nafasi nyingi kwenye mechi zake za ushindani tatizo lipo kwenye umaliziaji kubadili nafasi hizo kuwa bao ndani ya uwanja. Safu ya ushambuliaji ya Simba inaongozwa na Leonel Ateba ambaye amefunga mabao 8 katika hayo manne ni kwa penati…
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Stand United, Uwanja wa KMC Complex. Yanga metoka kupata ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika dhidi ya Azam FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja…
Moja kati ya vitu vyenye thamani kubwa duniani kwa rasilimali za asili ukiachana na mafuta kuna hii kitu inaitwa dhahabu, Tanzania imejaliwa utajiri huu lakini Meridianbet imekuletea mchezo maalum wa dhahabu tu na malipo yake ni makubwa yenye thamani kama ya mafuta na dhahabu, kucheza na kushinda ni rahisi, soma hapa mbinu za ushindi na…
Mchezo maarufu unaotikisa mitandaoni, Aviator, sasa unakupa nafasi ya kushinda zawadi ya ndoto – PlayStation 5 (PS5) mpya kabisa kupitia Meridianbet! Kampeni hii kabambe inamalizika kesho, na Meridianbet inawakaribisha watanzania wote wenye kiu ya ushindi kushiriki. Ni rahisi, ni ya kusisimua, na inakulipa! Jinsi Ya Kuwa Mshindi: Ingia au jisajili bure SASA. Cheza Aviator –…
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Fadlu Davids kimetinga hatua ya nusu fainali CRDB Federation Cup kwa ushindi dhidi ya Mbeya City. Kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC Complex, Simba ilipata mabao kupitia kwa Fabrince Ngoma dakika ya 24 akiweka usawa bao la Mudathir Said wa Mbeya City aliyepachika bao dakika ya 22. Bao…