
KENGOLD VS SIMBA SC HESABU KALI ZINAPIGWA
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili kati ya KenGold vs Simba SC Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, hesabu kali zinapingwa kwa timu zote mbili kuhitaji kusepa na pointi tatu muhimu. Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids walipokutana na KenGold Desemba 18 2024, ubao wa Uwanja wa KMC Complex ulisoma…