
MTAMBO HUU WA MABAO YANGA SC HATIHATI KUIKOSA SIMBA SC
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga SC ambacho kimefunga raundi ya 30 kwa ubao kusoma Yanga SC 5-0 Dodoma Jiji, Juni 22 kuna hatihati kuukosa mchezo wa Kariakoo Dabi, Juni 25 2025, Uwanja wa Mkapa. Ni Prince Dube ambaye hakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji baada ya kupata maumivu kwenye mchezo…