
MAN UNITED YASHINDA,CR 7 KUSEPA
 MANCHESTER United imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa Uwanja wa St Mary’s. Kwenye mchezo wa leo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa bao la ushindi limefungwa na Bruno Fernades dakika ya 55. Ni mashuti 17 ambayo Southampton walipiga huku matano yakilenga lango na United ni mashuti 11…