
KARIAKOO DABI UWANJA WA MKAPA; SIMBA V YANGA
UWANJA wa Mkapa Simba 0-1 Yanga Maxi Nzegeli goal dk 86 KARIAKOO Dabi Uwanja wa Mkapa mzunguko wa kwanza dakika 45 za mwanzo ngoma ni nzito kwa timu zote mbili ambapo hakuna aliyepata bao la kuongoza. Mshambuliaji wa Simba, Leoenal Ateba anaokena kuwa kwenye presha kubwa katika kutafuta bao ambapo anakutana na kizingiti kutoka kwa…