
SIMBA: SIKU HAZIGANDI, TUNAWATAKA NYUMA MWIKO
NI Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa siku hazigandi na wanaamini watakutana na wapinzani wao Yanga kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi Oktoba 19 2024 Uwanja wa Mkapa. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 ubao ulisoma…