SIMBA YAKAMATIA REKODI HII BONGO

LICHA ya kugotea nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara na kusepa na tiketi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika ikiungana na Coastal Union ya Tanga. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda ambaye funga kazi yake ilikuwa Mei 28 Uwanja wa Mkapa aliposhuhudia ubao ukisoma Simba 2-0 JKT Tanzania mabao yakifungwa…

Read More

Meridianbet Yazindua Clash 4 Ca$h Tournament – Zawadi Zaidi ya TZS 1.5 Bilioni Kusubiri Washindi!

Wapenzi wa michezo ya kasino, habari njema imewasili kwenu. Meridianbet, kinara wa michezo ya kasino mtandaoni, imezindua Clash 4 Ca$h Tournament, mashindano makubwa zaidi kuwahi kutokea, yakibeba zawadi ya jumla ya zaidi ya TZS 1.5 Bilioni. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wachezaji wote nchini kuonyesha uwezo wao kwenye michezo ya sloti na kuwania nafasi…

Read More

MAYELE ABAINISHA KWAMBA HAWAJAHI ILI WAFUNGWE

FISTON Mayele, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa hawajawahi kuelekea nchini Tunisia ili wafungwe bali watajitahidi kutafuta ushindi. Kikosi cha Yanga kina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa kesho Novemba 9,2022. Tayari kikosi hicho kipo nchini Tunisia kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya…

Read More

YANGA MWENDO WAO KUIKABILI IHEFU

MABINGWA watetezi wa taji la CRDB Federation Cup wana kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Ihefu katika mchezo wa hatua ya nusu fainali, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi, Yanga ilianza raundi ya pili kwa kushuhudia ubao ukisoma Yanga 5-1 Hausing, Yanga 5-0 Polisi Tanzania, Dodoma Jiji 0-2 Yanga…

Read More

KOCHA ANAYETAJWA KUIBUKIA SIMBA AFUNGUKA

INAELEZWA kuwa aliyekuwa kocha wa Kaizer Chiefs na kutimuliwa kabla ya mkataba wake kuisha Stuart Baxter raia wa Uingereza (68), April 24, 2022 alifanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez. Baxter alikutana na Barbara jijini Johannesburg Simba ilipoenda kucheza na Orlando Pirates mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika na kocha huyo amesema kikao…

Read More

Times FM kutangaza mubashara Kagame Cup

Msimu mpya wa kombe la Kagame (Kagame Cup) unaanza kesho Septemba 2, 2025 kwa mechi mbili kuchezwa kwenye uwanja wa Major General Isamuhyo, Dar es Salaam, mechi hizo zikitarajiwa kutangazwa mubashara na kituo cha radio cha Times FM. Times FM imeingia ubia na Baraza la Soka Afrika Mashariki na Kati ( Cecafa) kutangaza mashindano hayo…

Read More

FT: Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC

PAMBA Jiji FC 1-1 Simba SC ni matokeo rasmi mchezo wa NBC Premier League uliochezwa Uwanja wa Kirumba, leo Machi 19,2026. Alianza Anicent Oura alianza kufunga goli kwa Simba SC dakika ya 33 na dakika ya 36 James alifunga goli kwa upande wa Pamba Jiji FC. Licha ya mnyama kuanza kutangulia kufunga kwenye mchezo alikwama…

Read More