
MASTAA YANGA, SIMBA, KAGERA KUREJESHA KWA JAMII
MASTAA wa Yanga SC, Simba SC, Kagera Sugar, JKT Tanzania na timu nyingine wapo kwenye mwendelezo wa kurejesha kwa jamii. Julai 6 2025 itakuwa ni Wape Tabasamu ya Team Dickson Job na Team Kibwana Shomari hawa wote wa Yanga SC. Kwenye mchezo huo ikiwa ni msimu wa 4 wapo wachezaji wa Simba SC ambao watakuwa…