
SIMBA YAMTOA OMARY OMARY KWA MKOPO KWENDA MASHUJAA FC
Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumtoa kwa mkopo kiungo Omary Omary kwenda kuitumikia Mashujaa Fc kwa msimu ujao wa 2025/26. Omary anarejea Mashujaa Fc takribani mwaka mmoja tangu ajiunge na Mnyama mnamo Juni 22, 2024.