
ZIJUE TIMU AMBAZO ZILIFUNGWA NA PACOME LIGI KUU/ MABAO 12
PACOME Zouzoua ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara amefunga mabao 12 akitoa jumla ya pasi 10 za mabao kati ya 83 yaliyofungwa na Yanga SC iliyotwaa ubingwa wa ligi msimu wa 2024/25. Hizi hapa timu ambazo zilifungwa na Pacome namna hii:- JKT Tanzania, mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex kwa mguu wake wa kushoto. Mchezo…