HAYA HAPA KUTEKA SHOW SIKU YA SINGIDA FOUNTAIN GATE DAY

MIPANGO mikubwa ndani ya Singida Fountain Gate inayoshiriki Ligi Kuu Bara inaendelea ikiwa ni pamoja na siku maalumu ya utambulisho wa wachezaji wao pamoja na benchi la ufundi. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 ilikuwa inaitwa Singida Big Stars na ilikuwa inatumia Uwanja wa Liti kwa mechi za nyumbani. Msimu wa 2023/24 itakuwa ni Singida Fountain…

Read More

JKT TANZANIA YAPOTEZA POINTI NYUMBANI MBELE YA SIMBA

WAKIWA ugenini kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara wameshuhudia ubao wa Uwanja wa  Meja Jenerali Isamuhyo ukisoma JKT Tanzania 0-1 Simba ukiwa ni mzunguko wa kwanza. Simba inakomba pointi tatu na kufikisha pointi 36 kibindoni baada ya kucheza mechi 15 sawa na watani zao wa jadi Yanga kwenye upande wa mechi ndani ya ligi. Nafasi ya…

Read More

SIMBA YAWAPIGA WALIOFANYA FUJO KWA MKAPA

SIMBA Sc imechukua pointi tatu ugenini na kukwea kileleni mwa msimamo wa Kundi A la kombe la Shirikisho Afrika CAFCC huku CS Sfaxien wakiondolewa rasmi kwenye kinyang’anyiro cha kwenda robo fainali. CS Sfaxien 🇹🇳 0-1 🇹🇿 Simba ⚽ 34’ Ahoua 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: CAFCC ASC Jaraaf 🇸🇳 0-0 🇧🇼 Orapa United Stellenbosch 🇿🇦 2-0 🇦🇴 CD…

Read More

ALI KAMWE AMETOA AHADI HII YANGA DAY

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe ameahidi kuishitua Dunia Keshokutwa katika kilele cha Wiki ya Mwananchi itakayofanyika kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Romain Folz ambaye ni mrithi wa mikoba ya Miloud Hamdi aliyekiongoza kikosi hicho kutwaa taji la ubingwa msimu wa 2024/25. Ni Wiki ya…

Read More

YANGA KUFANYA KAZI KUBWA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa utafanya kazi kubwa kufanikisha malengo ya kutwaa ubingwa ambao upo mikononi mwao waliotwaa msimu wa 2022/23. Chini ya Miguel Gamondi Yanga ilitoka kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Kinara wa utupiaji wa mabao ni Aziz KI ndani ya Yanga na ligi…

Read More

SIMBA WAJA NA MTOKO WA FAMILIA

BAADA ya ushindi wa mabao 3-1 waliopata dhidi ya Singida Big Stars kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, kesho Simba wanatarajia kumenyana na Al Hilal. Mchezo huo ambao Simba watajitupa kesho Uwanja wa Mkapa ni wa kimataifa wa kirafiki ikiwa ni maandalizi ya mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya…

Read More

BREAKING:NYOTA WA KIMATAIFA ATAMBULISHWA YANGA

NYOTA wa kimataifa kutoka Burundi Gael Bigirimana ametambulishwa leo ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Ni kiungo mshambuliaji Bigirimana ambaye yupo kwenye ardhi ya Tanzania kwa ajili ya kuwa na Wananchi ambao wameamua jambo lao. Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga imeeleza kuwa nyota huyu ni zawadi kutoka kwa rais wa…

Read More

WACHEZAJI ONYESHENI MAKALI UWANJANI

HAKUNA anayependa kuona anakosa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza kwenye mechi ambazo timu yake itakuwa inacheza ndani ya uwanja. Imekuwa kawaida kwa wachezaji wanaopewa nafasi kutoonyesha utofauti wao na yule ambaye anakuwa asungua benchi jambo ambalo linapaswa kuwa tofauti. Sababu kubwa ya wachezaji kuwekwa benchi ni kushindwa kwenda na mpango kazi wa benchi la…

Read More

YANGA WASHITUKA, YAFUATA BEKI GHANA

MABOSI wa Yanga wameiangalia ripoti ya Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi haraka wakachukua maamuzi magumu ya kumfuata beki Mghana, Mohammed Alhassani. Beki huyo anayemudu kucheza namba 4 na 5 anakipiga Klabu ya Heart of Oak inayoshiriki Ligi Kuu ya Ghana ambaye anakuja kuimarisha safu ya ulinzi. Nabi hivi karibuni alisitisha mpango wa kusajili…

Read More

LUSAJO MTU KAZI NDANI YA LIGI KUU BARA

MZAWA Reliats Lusajo ni mtu wa kazikazi kwenye kikosi cha timu hiyo katika mechi za Ligi Kuu Bara ujue umeona pointi kutokana na nyota yake kuwa kali kwenye miguu yake. Lusajo ni namba moja kwa kutupia akiwa na mabao manne ambayo amefunga kwenye mechi tatu mfululizo alizocheza ndani ya kikosi cha Namungo. Mchezo wa kwanza…

Read More

PRESHA YA SIMBA IPO KWENYE TIMU HII HAPA

KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Hitimana Thierry, amefunguka kuwa kasi waliyoanza nayo wapinzani wao, Yanga na mabao wanayofunga, imekuwa ikiwaongezea presha kubwa ya kuhakikisha wanapata matokeo katika mechi zao.Simba imepoteza pointi nne katika mechi tano ilizocheza, ikiwa imeshinda tatu na sare mbili.   Ilianza kwa suluhu dhidi ya Biashara United kabla ya kuifunga Dodoma Jiji bao 1-0, kisha ikaifunga Polisi Tanzania bao 1-0, halafu ikasuluhu na Coastal Union kabla ya kuichapa Namungo…

Read More

Hii hapa ratiba ya NBC Premier League leo

LEO Aprili 4 NBC Premier League burudani inaendelea zikipigwa mechi tatu kubwa kwa wababe kusaka pointi 3 muhimu uwanjani. Aprili 4, 2026 Mashujaa FC vs Pamba Jiji Lake Tanganyika, saa 10:00 jioni Mashujaa FC kwenye msimamo ipo nafasi ya 11 na pointi zake ni 19 inawakaribisha Pamba Jiji FC walio nafasi ya 5 na pointi…

Read More

NYOTA STARS WAAHIDI KUPAMBANA KIMATAIFA

NYOTA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wameweka wazi kuwa watapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao dhidi ya Niger ambao ni wa kufuzu Kombe la Dunia. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Novemba 18 katika Mji wa Marrakech siku ya Jumamosi. Miongoni mwa wachezaji waliopo kwenye msafara huo ni Simon Msuva, Novatus Dismas, Peter Banda,…

Read More