
TANZANIA PRISONS V SIMBA NGOMA UWANJANI
FT: Tanzania Prisons 0-1 Simba Goal Che Malone WANAUME 22 wapo Uwanja wa Sokoine wakisaka pointi tatu kwenye mchezo wa ligi wenye ushindani mkubwa ikiwa ni msimu wa 2024/25. Tanzania Prisons imewakaribisha Simba kwenye mchezo wa ligi ambapo timu ya Simba mchezo uliopita ilipoteza dhidi ya Yanga na Prisons ilipoteza mbele ya Azam FC. Ilikuwa…