
UBAYA UBWELA KIMATAIFA KUONYESHWA KWA MKAPA
Uongozi wa Simba umebainisha kuwa utaonyesha ubaya ubwela kwenye mchezo wao wa kimataifa dhidi ya SC Sfaxine kwa lengo la kufufua matumaini kutinga hatua ya robo fainali. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 15 ikiwa ni mchezo wa tatu kwa Simba katika anga la kimataifa ikiwa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada ya…