
AZAM FC YAREJESHA CHUMA KINGINE CHA KAZI
MATAJIRI wa Dar, Azam FC hawapoi baada ya kumtambulisha nyota mwingine mpya ambaye aliwahi kucheza hapo kabla ya kuondoka kuelekea Misri kwa changamoto mpya. Kazi imeanza kwa timu hiyo ambayo itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa imegotea nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi msimu wa 2024/25. Ni Kocha Mkuu, Florent Ibenge atakuwa kwenye benchi…