
TANZANIA INAHESABU ZA UBINGWA WA CHAN
KUELEKA CHAN 2024, wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wapo nchini Misri kwa kambi maalumu huku hesabu kubwa ikiwa ni kupata matokeo kwenye mechi zijazo za ushindani na kutwaa ubingwa kwa kupata matokeo chanya katika uwanja. Dickson Job ambaye ni beki mwenye uwezo wa kupiga pasi ndefu na fupi ni miongoni mwa…