
MWIJAKU AHADI YAKE MPAKA MWANASHERIA
MHAMASISHAJI wa Klabu ya Simba ambaye pia ni mtangazaji Mwijaku ameweka wazi kuwa hawezi kuzungumza ishu yoyote ile kuhusu ahadi yake ya kuweza kutembea bila nguo ambayo aliweza kuiweka hivi karibuni. Shabiki huyo wa Simba aliweka ahadi kwamba ikiwa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes itafungwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika angeweza…