ATLETICO MADRID YASEPA NA POINTI TATU KWA USHINDI WA MABAO 2-1
ATLETICO Madrid walisepa na pointi tatu mazima mbele ya Cadiz katika mchezo wa La Liga uliochezwa Uwanja wa Wanda Metropolitan. Mabao ya Joao Felix dk 3 na Rodrigo De Paul dk 68 yalitosha kuwapa pointi muhimu licha ya kukamilisha mchezo wakiwa pungufu baada ya Javi Serrano kuonyeshwa kadi nyekundu dk ya 88. Bao la Cadiz…