
YANGA YAIPIGIA HESABU DODOMA JIJI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amesema kuwa hesabu kubwa ni kupata matokeo mazuri kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 za kazi. Mchezo uliopita Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tanzania Prisons mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC Complex ambapo Prince…