MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
Exclusive ndani ya Championi Jumamosi kuhusu Fiston Mayele na Chico Ushindi nakala yake ni 800
Exclusive ndani ya Championi Jumamosi kuhusu Fiston Mayele na Chico Ushindi nakala yake ni 800
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema kuwa kwa namna yoyote ile wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Mtibwa Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Manungu. Mtibwa Sugar wameamua mchezo huo uchezwe katika Uwanja wa Manungu wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 25,000 na tayari tiketi zimeanza kuuzwa na kiingilio ni 10,000. Kwenye…
HABARI mbaya kwa Watanzania na mashabiki wa ngumi ni kwamba Shirikisho la ngumi za kulipwa duniani limewavua mikanda ya ubingwa wa WBF Intercontinental mabondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ‘Champez’ na Ibrahim Class kutokana na kutotetea mikanda hiyo kwa muda mrefu tofauti na sheria zake. Rais wa Shirikisho hilo, Howard Goldberg kutoka Afrika…
MKAZI wa Masanga, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora Elibariki Edson Magaa,(33) ameibuka mshindi wa Jackpot Bonus ya Sportpesa kwa wikiendi iliyoisha baada ya kupatia kwa usahihi ubashiri wake wa mechi 12 kati ya mechi 13. Elibariki Magaa ambaye ni msanii wa fani ya kuchora na usanifu aliweka mkeka wake wa Jackpot usiku wa kuamkia Januari…
IWAFIKIE mashabiki wa Simba kwamba tatizo la nahodha wa Simba kuwa kwenye kipindi kigumu cha kushindwa kufunga wala kutoa pasi ya bao kwenye ligi kwa msimu wa 2021/22 limepata dawa baada ya mshikaji wake Clatous Chama kurejea. Chama alikuwa na maelewano mazuri na Bocco kabla ya kusepa msimu wa 2021/22 ambapo kwenye pasi mbili ambazo…
NYOTA wa timu ya taifa ya Cameroon,Vincent Aboubakar kwenye mashindano ya Afcon 2021 nchini Cameroon yeye anakiwasha tu kwa kucheka na nyavu. Mpaka sasa yeye ni namba moja kwa utupiaji ambapo amefunga jumla ya mabao matano kibindoni. Timu ya Cameroon ambao ni wenyeji wa mashindano hayo wamekuwa kwenye mwendo mzuri ambapo tayari wametinga hatua ya…
YANGA wamemuongezea dili la mwaka mmoja kiraka wake Mkongomani, Yannick Bangala na kufikisha miaka miwili ya kuendelea kukipiga hapo. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu tetesi zienee za kiungo mkabaji wa timu hiyo, Mkongomani Mukoko Tonombe kugomea kuuzwa TP Mazembe ya nchini DR Congo. Bangala alijiunga na Yanga katika msimu huu akitokea FAR Rabat ya nchini Morocco baada ya kuvunja mkataba wa kuendelea kukipiga huko kabla ya kutua Jangwani. Mmoja…
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa Simba wasiwe na mashaka kwa kuwa wanachokitaka wao ni mchezo huo uchezwe Uwanja wa Manungu. Kesho,Januari 22 unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar v Simba katika Uwanja wa Manungu. Habari zinaeleza kuwa Simba wamewaeleza bodi kuwa wao wana mashabiki wengi jambo…
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
UONGOZI wa timu ya soka ya Polisi Tanzania FC umethibitisha kupeleka mchezo wao dhidi ya Yanga SC katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha baada ya uwanja wao wa Ushirika uliopo mjini Moshi kuwa na matumizi mengine. Mchezo huo ulipangwa kupigwa Jumapili katika uwanja wa Ushirika lakini siku moja kabla ya mchezo yani…
CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga ameweka wazi kwamba kikosi hicho kinazidi kuimarika taratibu kutokana na mechi ambazo wanacheza. Mpaka sasa ndani ya Ligi Kuu Bara, Yanga haijapoteza mchezo kwenye ligi na inaongoza ligiikiwa na pointi 32. Jana Januari 18, Yanga ilikuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni FC ambapo iliweza kushinda mabao 2-0…
KOCHA Mkuu wa Chelsea, Thomas Tuchel juzi alikataa kujibu maswali ambayo yalikuwa yanamhusu staa wa timu hiyo Romelu Lukaku akisema sio tatizo ndani ya timu hiyo. Tuchel ameweka wazi kwamba timu hiyo inapitia wakati mgumu kwa sasa na wachezaji wake wengi wametoka kwenye majeruhi. Chelsea juzi ilishindwa kutamba kwa mara nyingine na kuambulia sare ya…
KOCHA mpya wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nienov amefunguka kuwa usajili wa kipa, AboutwalibMshery ni usajili bora kufanywa na klabu hiyo kutokana na ubora wake, Kocha huyo ameweka wazi kuwa ameanza na suala la kuhakikisha makipa wa timu hiyo wanahimili presha ya michezo mikubwa. Milton alitambulishwa rasmi na Yanga Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, ambapo alikuwa sehemu ya mashuhuda wa mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Yanga huku Yanga…
BAADA ya mwishoni mwa mwaka jana taarifa kusambaa kuwa Klabu ya Simba ina mpango wa kuvunja Mkataba wake na Kiungo Mganda Taddeo Lwanga baada ya kupata majeraha uongozi umetaja siku atakayorejea kikosini. Mashabiki wataweza kumuona kwa mara nyingine tena kiungo huyo wa kazi chafu mwishoni mwa Januari hii kwa mujibu wa Ofisa Habari, Ahmed Ally….
LIGI Kuu Tanzania Bara bado inaendelea na leo Januari 20 kutakuwa na mchezo mmoja kwa timu kusaka pointi tatu muhimu. Mbeya City ambayo imetoka kutibua rekodi za Simba kwa kuwatungua kwenye mchezo uliopita Januari 17 kwa bao 1-0 leo itamenyana na Ruvu Shooting. Mbeya City iliweza kusepa na pointi tatu mazima kwa ushindi huo na…
JANUARI 20, leo gazeti la Spoti Xtra Alhamisi lipo mtaani na nakala yake ni 500 miongoni mwa habari ambazo zimepewa kipaumbee nisuala la :Pablo ampa Chama saa 72 Simba. Yanga SC yatembeza mkwara mzito, Aucho atangaza vita.