PROFESA JANABI AZIGEUKIA USAJILI YANGA, SIMBA

MKURUGENZI Mtendaji wa Hospita ya Taifa ya Muhimbili, Profesa, Mohamed Janabi amezigeukia Yanga, Simba, Azam FC na Coastal Union na kuzishauri kuzingatia zaidi vipimo makini kwa wachezaji wapya watakaowasajili msimu wa 2023/24. Kauli hiyo ameitoa leo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uwezo wa Hospital ya Muhimbili- Mloganzila, katika tukio la kuagana na mchezaji…

Read More

SAIDO AWASHUKURU NBC KWA TUZO

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ameishukuru Benki ya NBC kwa kutoa motisha kwa wachezaji, huku akiamini hiyo inasaidia kujituma zaidi uwanjani.   Saido aliyasema hayo baada ya hivi karibuni kupokea tuzo yake ya Mchezaji Bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu Bara msimu huu sambamba na shilingi milioni moja kutoka kwa wadhamini wa…

Read More

MWENDO UMEUMALIZA SONSO,PUMZIKA KWA AMANI

KAZI ya Mungu haina makosa na tunapaswa kumshukuru kwa kila jambo ambalo linatokea kwenye maisha yetu ya kila siku kwa kuwa yeye ni muweza wa kila kinachotokea. Hakuna ambaye anaijua kesho hivyo kwa muda ambao upo kwa wakati huu kila mmoja anajukumu la kutimiza yale yanayofaa bila kuchoka. Wanafamilia,ndugu na jamaa katika kipindi hiki kigumu…

Read More

YANGA:US MONASTIR WATATUAMBIA WALITUFUNGAJE

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa Waarabu watwaambia waliwafungaje kwenye mchezo uliopita kutokana na mipango kazi inayoendelea ndani ya timu hiyo. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi inashiriki Kombe la Shirikisho Afrika ipo hatua ya makundi inasaka pointi tatu ili kufikisha malengo ya kutinga hatua ya robo fainali ina pointi 7 kwenye kundi D…

Read More

HII YA YANGA IMEENDA MABORESHO YANAHITAJIKA

HATIMAE SportPesa Wiki ya Mwananchi 2023 imeenda na kweli imekuwa hivyo kwa namna ambavyo walikuwa wamepanga. Mpangilio mzima wa matukio na namna ambavyo mashabiki walijitokeza kuona burudani hizo. Hatua moja kila wakati mbali na mchezo wa kimataifa wa kirafiki ambao ulikamilika kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 1-0 Kaizez Chiefs bado kazi imeonekana….

Read More

NAMUNGO HAWANA DOGO,WATUMA UJUMBE YANGA

UONGOZI wa Namungo umebainisha kwamba malengo makubwa ambayo wanayo ni kuweza kushinda mechi zao zote zilizopo mbele yao ikiwa ni pamoja na ule dhidi ya Yanga. Leo Novemba 20, Namungo FC itawakaribisha Yanga kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ilulu majira ya saa 10:00 jioni. Kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu wa Namungo FC,…

Read More

SIMBA KUIKABILI BIG BULLETS

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema wananafasi kubwa ya kushinda kwenye mchezo dhidi ya Big Bullets ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa nchini Malawi. Mchezo wa leo unakuwa ni wa kwanza kwa Mgunda kukaa benchi baada ya kuibuka ndani ya Simba akitokea Klau ya Coastal Union. “Tunajua kwamba mchezo wetu utakuwa…

Read More

JEMBE JIPYA AZAM FC HILI HAPA LATAMBULISHWA

RASMI Azam FC imemtambulisha nyota mpya katikakikosi hicho ambaye ni kipa. Taarifa ya matajiri hao wa Dar imeeleza kuwa wameinasa saini ya nyota huyo kutoka Ghana, Abdulai Iddrisu kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Bechem United ya kwao Ghana. Kazi imeanza kwa mabosi hao ambao waliweka wazi kuwa usajili wao utakuwa na mtikisiko ndani ya…

Read More