YANGA KUIKABILI STAND UNITED KMC COMPLEX

MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Stand United, Uwanja wa KMC Complex. Yanga metoka kupata ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika dhidi ya Azam FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja…

Read More

MSUVA APATA TIMU MPYA

NYOTA mzawa Simon Msuva ameweka wazi kuwa ni furaha kwake kuweza kuanza changamoto mpya katika Klabu ya Alqadsiah ya Saudi Arabia. Winga huyo hakuwa na timu kwa muda kutokana na kushughulikia kesi yake FIFA kuhusu mkataba wake na malipo na mwisho wa siku aliweza kushinda. Alikuwa anatajwa kuweza kurejea ndani ya klabu yake ya zamani…

Read More

SIMBA YATEMBEZA MKWARA MZITO

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari kwa msimu mpya wa 2023/24. Simba ilipashana na mataji msimu wa 2022/23 ambapo ni Yanga walitwaa mataji yote kuanzia Ngao ya Jamii, Kombe la Azam Sports Federation. Katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Yanga iliwatungua mabao 2-1 Simba kwenye…

Read More

SOPU KAANZA KUIKABILI YANGA KWA MKAPA

NYOTA Abdul Seleman,’Sopu’ kiungo wa Azam FC ameanza kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa leo Desemba 25,2022 dhidi ya Yanga. Ikumbukwe kwamba alipokuwa Coastal Union Sopu alifunga hat trick kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga jambo lililowavutia mabosi wa Azam FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ukisubiriwa kwa…

Read More

ARSENAL WASEPA NA POINTI TATU KIBABE

LICHA ya Bournermouth kuanza kwa kasi kuliandama lango la Arsenal na kupata mabao ya kuongoza kila kipindi. Bao la mapema lilifungwa dakika ya kwanza na Philip Billing na bao la pili lilifungwa na Marcus Senesi dakika ya 51. Mwisho ubao ulisoma Arsenal 3-2 Bournemouth ambapo ni mabao ya Thomes Partey dakika ya 62, Ben White…

Read More

WINGA TP MAZEMBE AIPENYEZEA YANGA SIRI ZA USHINDI

WINGA wa zamani wa Yanga na TP Mazembe, Chiko Ushindi Wakubanza, amesema kama Yanga watapambana zaidi na kucheza kwa moyo mmoja, basi watapata matokeo mazuri mbele ya TP Mazembe, huku akibainisha kwamba. Ushindi ambaye aliitumikia Yanga msimu uliopita kwa mkopo akitokea TP Mazembe, kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Don Bosco ya nchini DR Congo…

Read More

MWAMBA KASEKE BADO YUPO NDANI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE

NYOTA Deus Kaseke ni miongoni mwa wale watakaokuwa kwenye kikosi cha Singida Fountain Gate kwa ajili maandalizi ya msimu wa 2023/24. Timu hiyo kambi yake itakuwa Arusha baada ya mpango wa kuelekea Tunisia kusitishwa. Kaseke ni Legend ndani ya timu hiyo kutokana na uwezo wake kwenye eneo la kiungo na aliibuka hapo akitokea Yanga. Mchezo…

Read More

KIMATAIFA SIMBA V YANGA KUCHEZA NA HIZI HAPA

LIGI ya Mabingwa Afrika hatua ya awali imekamilika na zile timu ambazo zimesonga mbele kimataifa zimewatambua wapinzani wao hatua inayofuata ikiwa ni pamoja na Yanga na Simba kutoka Tanzania. Hivi ndivyo ambavyo itakuwa kwa hatua ya kimataifa inayofuata itakuwa namna hii:- Rivers United v Wydad AC Plateau United v Espérance Tunis ASN Nigelec v Raja…

Read More

LUSAJO BADO HAJAFUNGA KITAMBO KWELI

RELLIATS Lusajo ni mtupiaji namba moja ndani ya kikosi cha Namungo FC na aliwahi kuwa namba moja ndani ya ligi alipofikisha jumla ya mabao 10. Mara ya mwisho Lusajo kufunga ilikuwa ni Februari 25,2022 Uwanja wa Nyankumbu mbele ya Geita Gold ambapo alifunga bao lake la 10. Mamo bado hayajajibu kwake muda huu kwenye upande…

Read More

SIMBA KUTINGA CAF KISA KOCHA ORLANDO PIRATES

BREAKING:Klabu ya Simba leo Aprili 19 imetoa taarifa ya kuhusu malalamiko ya uongo ya Kocha Mkuu wa Orlando Pirates, Mandla Nickazi alizotoa baada ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ambapo Orlando Pirates ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0. Taarifa hiyo imeeleza kwamba Simba imechukizwa na maneno ya kashfa yaliyotolewa na kocha huyo ambayo yanatabaisha ukosefu…

Read More

UTAMU WA MECHI ZA UEFA UPO HAPA, KITAWAKA LEO

Jumanne ya leo ni kwaajili ya mechi za UEFA na tayari mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameshakuwekea ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 pale ambapo unataka kubashiri mechi zako. Unasubiri nini? Ingia na ubashiri sasa. Bayern Munich leo watakuwa na kibarua kizito cha kupindua meza mbele ya Lazio huku wakiwa na mwenendo mbaya wa…

Read More