
GAMONDI: WACHEZAJI MUHIMU KUONGEZA UMAKINI
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wanahitaji kuongeza umakini katika kutimiza majukumu yao yote. Timu ya Yanga imeweka kambi AVIC Town ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Yanga ni mabingwa watetezi baada ya kutwaa taji la ligi msimu wa 2022/23 pia wana kibarua cha kutetea Ngao ya Jamii. Agosti…