
KOCHA SIMBA APEWA DAKIKA 180
BAADA ya kukiongoza kikosi cha Simba kwenye mechi mbili za Ligi Kuu Bara kwa kukomba ushindi kwenye mechi zote mbili, Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira amepewa dakika 180 za moto kimataifa. Mechi ambazo Oliveira alikiongoza kikosi cha Simba ilikuwa ugeini ubao wa Uwanja wa Manungu ulisoma Mtibwa Sugar 2-4 Simba na alikamilisha dakika 180…