MAYELE ANATOA SOMO LA BURE KWA WENGINE

FISTON Mayele ni mshambuliaji ambaye sio mwepesi kukata tamaa akiwa uwanjani, akikutana na makipa wenye mbwembwe huwa anawatazama kisha akishagundua tabia yao hapo anaongeza presha kwenye namna ya uokoaji na kutoa pasi. Amekuwa bora kwa misimu miwili mfululizo na kwenye mechi zote ambazo amecheza hajui ladha ya kuonyeshwa kadi ya njano ikiwa inamaanisha ana nidhamu…

Read More

YANGA YASOGEZEWA UBINGWA

LICHA ya kikosi cha Yanga kutinga kwa mara ya kwanza hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini bado timu hiyo imepewa nafasi ya kulibebe taji hilo msimu huu.   Yanga imeshafuzu hatua ya robo fainali baada ya kuongoza Kundi D kwa kukusanya pointi 13, huku jana Jumatano droo ya hatua ya robo…

Read More

HAJI MANARA AMPA PONGEZI ALLY KAMWE KUTEULIWA YANGA

ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa baada ya kutangazwa rasmi kwenye Idara ya Habari na Mawasiliano alipongezwa na Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Yanga. Ameweka wazi kuwa Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba naye alimpa pongezi. Septemba 27, Kamwe alitangazwa kuwa Ofisa Habari na Priva Abiud maarufu…

Read More

MUDA NI MCHACHE HUKU MAMBO YAKIWA MENGI

MUDA uliobaki kwa ligi kuanza unahesabika, kwani kila kitu kitaanza hivi karibuni ikiwa ni msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ni Yanga walitwaa ubingwa wa ligi msimu wa 2022/23 wanakazi ya kuutetea kwa msimu mpya wa 2023/24. Ikumbukwe kwamba Yanga walitwaa Ngao ya Jamii pia msimu wa 2023 kwa ushindi dhidi ya Simba Uwanja…

Read More

BEACH SOCCER NI MWENDO WA VICHAPO TU

KAZI imeanza kwenye Ligi ya Soka la Ufukweni 2023 ambapo timu zinaonyeshana uwezo kwenye mechi hizo ambazo zinachezwa Fukwe za Coco Beach na hakuna kiingilio. Agosti 19 Kundi A lilianza kuonyesha makeke kwa timu kusaka ushindi na ilikuwa ni mwendo wa kutembeza vichapo kwa wapinzani na hakuna sare iliyopatikana. Sayari Boys inaingia kwenye rekodi za…

Read More

AUBA KAZI HAKUNA TENA

IMERIPOTIWA kuwa Chelsea wapo kwenye mpango wa kuvunja mkataba na staa wao Pierre Emerick Aubameyang mwishoni mwa msimu huu. Auba amekuwa hana nafasi kikosi cha kwanza ndani ya Chlesea chini ya Kocha Mkuu, Graham Potter. Tangu ametua hapo msimu huu mambo yanaonekana kuwa magumu kwa staa huyo. Ilikuwa dakikasaba tu alitumia nyota huyo kwenye mchezo…

Read More

PENALTY ZINAENDELEA KUWAPA WATU MAISHA

Penalty tu zinaendelea kuwapa watu maisha kwani kupitia mchezo wa Beach Penalties watu wanashinda maokoto ya kutosha, Ambapo ni ufanisi wako tu katika kupiga penalty na kufunga ndio kunakupa mkwanja. Umahiri wako wa kupiga mikwaju ya Penalty ndio inaweza kukufanya ukaondoka na mamilioni kupitia mchezo huu pendwa kwasasa, Kwani utapaswa kupiga penalty zako tano na…

Read More

NGOMA NZITO, POLISI TANZANIA YAWAPIGA MKWARA YANGA

MABINGWA watetezi wa Kombe la Azam Sports Federation Yanga leo wanakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa raundi ya tatu. Februari 19 kuna mechi ambazo zilichezwa katika raundi ya tatu na matokeo ilikuwa  Coastal Union 1-0 Mbeya Kwanza,  Singida FG 2-0 FGA Talents na Dodoma Jiji 2-1 Biashara United leo ni zamu ya Yanga. Ali…

Read More

AZAM FC YAFUNGA USAJILI NA BEKI WA KAZI

 UONGOZI wa Azam FC umefunga usajili wao kwa kumtambulisha beki wa kati wa kimataifa raia Senegal, Malickou Ndoye, akitokea Teungueth FC ya huko. Taarifa iliyotolewa na Azam FC imeeleza kuwa Ndoye mwenye miaka 22, ni mmoja wa mabeki wanaokubalika na Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Senegal, Aliou Cisse ambaye alimjumuisha kwenye kikosi kilichoshiriki…

Read More

MASTAA SITA WA SIMBA KUIKOSA RUVU SHOOTING

MASTAA sita wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco ikiwa ni pamoja na Sadio Kanoute, Pape Sakho leo Februari 16 wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora Uwanja wa Mkapa. Kanoute na Sakho waliumia kwenye mchezo dhidi ya ASEC Mimosas ambao ulikuwa ni wa Kombe la Shirikisho na Simba iliibuka…

Read More

NYOTA HAWA WAPYA WAIPA KIBURI YANGA

NYOTA wapya wa timu ya Yanga ambao wametua ndani ya dirisha dogo, wameipa jeuri timu hiyo kiasi cha kutamka kuwa wana uhakika wa kutetea ubingwa wao wa Kombe la Mapinduzi. Mabosi hao wameongeza kuwa wana uhakika huo kwa mastaa hao wapya ndani ya kikosi hicho, wakiamini wana uwezo mkubwa. Miongoni mwa mastaa wapya ambao wamesajiliwa na Yanga ni Dennis Nkane aliyetoka Biashara United, Aboutwalib Mshery, Salim Aboubakhari ‘Sure Boy’ na Crispin Ngushi. Yanga ni mabingwa watetezi na mchezo wa kwanza mbele ya…

Read More

AZAM YAPOTEZA MBELE YA DODOMA JIJI

DODOMA Jiji wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma. Bao pekee la Azam FC limefungwa na Ayoub Lyanga ambaye alipachika bao hilo dakika ya 60 na kumfanya afikishe mabao mawili kwenye ligi. Ni Muhsain alipachika bao dakika ya 27 na Collins Opare…

Read More

BINGWA MPYA WA TFF BONANZA APATIKANA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewakabidhi Kombe Mabingwa wa 3rd TFF Media Day Bonanza 2022 Uhuru Media na kuweka wazi kuwa wakati ujao kutakuwa na maboresho zaidi. Uhuru Media imepata ushindi huo kwa kuwatungua bao 1-0 Online Media kwenye Bonanza ambalo limefanyika Uwanja wa Gwambina. Moja ya fainali iliyokuwa…

Read More