
MSAADA WA MASHUKA WATOLEWA ZAHANATI YA ALIMAUA
Kampuni ya Meridianbet, kwa mara nyingine tena, imeonyesha dhamira yake ya kusaidia jamii kupitia mchango mkubwa kwa Zahanati ya Alimaua ambapo safari hii kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mashuka kwa zahanati hiyo, kama sehemu ya juhudi za kuboresha huduma za afya na mazingira ya kutolea huduma kwa wananchi wa eneo la Alimaua. Akizungumza wakati wa…