
RATIBA YA LIGI KUU BARA, SIMBA NA YANGA KAZINI
BURUDANI ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC inaendelea ambapo Februari 5 2025 kuna mechi kali mbili kwa wababe kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu na kivumbi kitaendelea Fenbruari 6 2025. Tabora United v Namungo na Yanga itakuwa dhidi ya Ken Gold hizi mbili ni mechi za Februari 5 2025 kwa wababe kuwa kazini…