
JESHI LA YANGA DHIDI YA COPCO CRDB FEDERATION CUP
KATIKA kikosi cha Yanga dhidi ya Copco ikiwa ni hatua ya raundi ya tatu kiungo wa kazi Sure Boy ameanza kikosi cha kwanza kusaka ushindi kwenye mchezo wa leo Januari 25 2025. Kikosi kamili kipo namna hii:-Aboutwalib Mshery, Israel Mwenda, Kibabage, Bakari Nondo, Jonas Mkude, Sure Boy. Farid Musa, Duke Abuya, Aziz Ki, Shekhan Khamis….