
DUH!KUMBE KUNA TIMU IMEFUNGWA NA YANGA MABAO 800
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapinzani wao,(Simba) ni timu pekee ambayo imefungwa mabao mengi na Yanga jambo ambalo haliwapi presha kuelekea mchezo wao. Desemba 11, Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Manara ameliambia Championi Jumatatu kuwa ukitafuta timu ambayo imefungwa mabao…