
MASTAA YANGA WATANGAZA MGOMO,SIMBA WASHINDA USIKU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Ahamisi, Oktoba 28 lipo mtaani nakala yake ni 500 tu
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Ahamisi, Oktoba 28 lipo mtaani nakala yake ni 500 tu
KIKOSI cha Simba leo Oktoba 27 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Bao la ushindi limefungwa na kiungo Rarry Bwalya dakika ya 89 kwa mkwaju wa penalti iliyosababishwa na kiungo Bernard Morrison. Kwenye mchezo wa leo Polisi Tanzania walikuwa kwenye ubora…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amewapatia viwanja jijini Dodoma wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Twiga Stars kwa kuibuka mabingwa wa COSAFA 2021. Rais Samia (katikati) akiwa na baadhi ya wachezaji wa Twiga Stars na viongozi mbalimbali. Rais Samia ametoa zawadi hiyo leo Oktoba…
KINDA wa Barcelona, Ansu Fati amesema kuwa alipata ofa nyingi sana lakini akaamua kubaki Barcelona na wala hana wasiwasi kuvaa jezi ya Lionel Messi. Fati alikubali kusaini mkataba mpya wa miaka sita na Barcelona na sasa dau lake la usajili ni Euro bilioni moja jambo ambalo linaonekana kuishtua dunia. Kinda huyo ambaye anatajwa kuwa…
BAADA ya uongozi wa Azam FC, kuwasimamisha wachezaji wao, Aggrey Morris, Aboubakary Salum ‘Sure Boy’ na Mudathir Yahaya kwa muda usiojulikana, Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ limeiagiza timu hiyo kutoa adhabu ya muda maalum. BAADA ya uongozi wa Azam FC, kuwasimamisha wachezaji wao, Aggrey Morris, Aboubakary Salum ‘Sure Boy’ na Mudathir Yahaya kwa muda usiojulikana,…
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefunguka kuwa bado anaiona nafasi yake katika kikosi cha timu hiyo kutokana na malengo aliyojiwekea kwamba anahitaji kufanya vizuri zaidi ya sasa ikiwa ni msimu mpya wa 2021/22 umeanza kwa kasi kubwa. Fei Toto anayefundishwa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameanza msimu huu vizuri huku akiwa kinara wa…
OKTOBA 23, Mason Mount nyota wa Chelsea mwenye miaka 22 aliandika rekodi yake tamu kwa kufunga hat trick mbele ya Norwich kwenye mchezo wa Ligi Kuu England jambo ambalo lilimpa tabasamu nyota huyo ambaye yupo chini ya Kocha Mkuu, Thomas Tuchel. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu England, ubao wa Uwanja wa Stamford Bridge ulisoma…
NYOTA wa zamani wa Klabu ya Simba, raia wa Ghana Nicholas Gyan amesema kuwa Yanga ya msimu huu ni bora kuliko Yanga zote za misimu minne iliyopita na ina nafasi ya kutwaa ubingwa. Gyan alisema Simba hawatakiwi kubweteka badala yake wawe makini kwa kuwa mwenendo wa Yanga ya msimu huu unaonekana bora sana na kila…
OKTOBA 27 Championi Jumatano habari kubwa inazungumzia kuhusu kutimuliwa kwa Didier Gomes aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba na imeeleza kuwa kocha mpya amepewa saa 48, pia kuna ishu ya Gomes kuitaja Yanga, jipatie nakala yako ambayo ina habari kubwa nyingine inayozungumzia mshahara wa makocha huku Nasreddine Nabi wa Yanga akionyesha kuwafunika wote.
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho, Simba wana kazi ya kupambana mbele ya Red Arrows FC katika mchezo wa kwanza ambapo watakuwa nyumbani. Baada ya Simba kufungashiwa virago katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Jwaneng Galaxy, Uwanja wa Mkapa sasa kazi yao ni kwenye Kombe la Shirikisho. Itakuwa ni…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wanaamini mchezo wao dhidi Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 30 utakuwa na ushindani mkubwa ila wamejipanga kupata pointi tatu muhimu. Akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa Serena Hotel, Manara amesema kuwa wanatambua mchezo utakuwa na ushindani kwa kuwa wanakutana na timu imara….
ALIYEKUWA kocha mkuu wa Simba, Didie Gomes amesema ameomba kujiondoa kwenye klabu hiyo baada ya kushinfwa kufikia malengo kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika. “Ninapenda kuwa muwazi kwa mashabiki na wapenzi wa mpira nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu nafasi yangu ya Ukocha Mkuu wa Simba Sc kwa sababu ninaamini ndiyo maamuzi sahihi kwa manufaa ya klabu.”…
Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kusalia pale Old Trafford licha ya kipigo kikubwa alichokipata dhidi ya Liverpool.
KLABU ya Simba imetangaza kuachana rasmi na Kocha wake Didier Gomes Da Rosa raia wa Ufaransa baada ya pande zote mbili kufikia maridhiano. Hatua hii inakuja ikiwa ni siku mbili tangu Simba alipoondoshwa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kupokea kichapo cha bao 3-1 kutoka kwa Jwaneng Galaxy ya Botswana, juzi…
MAMBO ni magumu kwenye benchi la ufundi la Simba linaloongozwa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ambapo inaelezwa kuwa muda wowote ule wanaweza kuchimbishwa. Mpaka wakati huu makocha wa timu hiyo ikiwa ni Gomes pamoja na Hitimana Thiery ambaye ni kocha msaidizi wa timu hiyo hawajui hatma yao kama wataendelea kubaki ama la. Ilikuwa ni Oktoba…
Ni wakati wa kutengeneza faida kwa dau utakaloliweka kwenye michezo ya wiki hii. NBA, Carabao Cup na Serie A kuendelea kutoa burudani ya faida. Tunisha mifuko yako kwa kuzifuata Odds za ushindi, mambo yapo hivi; Arsenal kuchuana na Leeds United katika muendelezo wa Carabao Cup jumanne hii. The Gunners wanaingia uwanjani wakiwa wametoka kushinda…
OLE Gunnar Solkajaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa ametoka mbali na timu hiyo jambo ambalo linamfanya azidi kubaki ndani ya timu hiyo. Kocha huyo hakuwa na bahati alipokutana na Liverpool na alishuhudia ubao wa Uwanja wa Old Trafford ukisoma Manchester United 0-5 Liverpool ikiwa ni kipigo kikubwa kwa timu hiyo kwa msimu wa…