
YANGA MACHO KWENYE UBINGWA WA LIGI KUU BARA
BAKARI Mwamnyeto, nahodha wa Yanga amesema kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22. Yanga ikiwa imecheza mechi nne imeshinda zote na kujiwekea kibindoni pointi zake 12 inashika nafasi ya kwanza huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imefunga mabao 6. Wapinzani wao Simba wapo…