
RAIS SAMIA AIPONGEZA KLABU YA SIMBA SC BAADA YA USHINDI DHIDI YA CS SFAXIEN
Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba SC baada ya ushindi dhidi ya CS Sfaxien. Kupitia mtandao wake wa kijamii ameandika-: “Hongera kwa Klabu ya Simba kwa ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya CS Sfaxien” “Mmewapa mashabiki na Watanzania wote kwa ujumla burudani na furaha. Endeleeni kuweka…