SIMBA WAPO KAMILI GADO KWA KAZI

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Simba wapo kamili gado kwa ajili ya msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuanza kati ya Agosti. Ipo wazi kuwa msimu wa 2024/25 Simba iligotea nafasi ya tatu kwenye msimamo huku nafasi ya pili ikiwa mikononi mwa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo. Kwa sasa Simba…

Read More

AUBA KAZI HAKUNA TENA

IMERIPOTIWA kuwa Chelsea wapo kwenye mpango wa kuvunja mkataba na staa wao Pierre Emerick Aubameyang mwishoni mwa msimu huu. Auba amekuwa hana nafasi kikosi cha kwanza ndani ya Chlesea chini ya Kocha Mkuu, Graham Potter. Tangu ametua hapo msimu huu mambo yanaonekana kuwa magumu kwa staa huyo. Ilikuwa dakikasaba tu alitumia nyota huyo kwenye mchezo…

Read More

SIMBA: TUPO TAYARI KUIKABILI BIG BULLETS

NAHODHA Msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Nyassa Big Bullets unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda itaingia uwanjani ikiwa na faida ya mabao 2-0 ambayo waliyapata ugenini na ina rekodi ya kutolewa na Jwaneng Galaxy Uwanja wa Mkapa…

Read More

MWAMBA WA KAZI ATUMA UJUMBE AL AHLY

MWAMBA wa kazi Shomari Kapombe amebainisha kuhusu mpango kazi kuhusu mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Machi 29 2024. Kapombe ameweka wazi kuwa wanatambua kwamba ushindani ni mkubwa na watafanya kazi kubwa kupambana kupata matokeo chanya

Read More

MAN UNITED YASEPA NA USHINDI UGENINI

BAO la ushindi ambalo alifunga Jadon Sancho kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Leicester City wakiwa ugenini limemfanya achaguliwe kuwa mchezaji bora wa mchezo huo. Ilikuwa ni Uwanja wa King Power Manchester United walifanikiwa kukusanya pointi tatu wakiwa ugenini. Ushindi huo unaifanya timu hiyo kufikisha jumla ya pointi 9 ikiwa nafasi ya tano…

Read More

HAITAKUWA MWISHO MPAKA IGOTE MWISHO

HAITAKUWA mwisho mpaka ifike mwisho kwenye mashindano yote ambayo timu zinashiriki iwe ni kwenye ligi ama Kombe la Shirikisho. Ipo wazi kwamba bingwa mtetezi wa mataji yote ni Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Yanga wao watakutana na Singida Big Stars mchezo wa hatua ya nusu fainali na Azam FC watamenyana na Simba kweye…

Read More

SIMBA 2-0 TABORA UNITED

FT: LIGI Kuu Bara Mzunguko wa pili Simba 2-0 Tabora United Sadio Kanoute goal dakika ya 19 Edwin Balua goal dakika ya77. Simba ipo Uwanja wa Azam Complex Dar kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Tabora United ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Ayoub Lakred ameanza langoni ikiwa ni mchezo wake wa tatu mfululizo…

Read More

CLEMENT MZIZE ANA BALAA HUYO

NYOTA wa Yanga, Clement Mzize ni habari nyingine Bongo kwa upande wa mastaa wanaocheza ndani ya Yanga na Simba kwa kuwa mzawa aliyepachika bao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, vigogo wote walipokuwa kazini. Ikumbukwe kwamba Septemba 16, Yanga ilikuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Al Merrikh, Rwanda na Simba…

Read More

AZAM FC: TUTAREJEA TUKIWA IMARA

NYOTA wa Azam FC, Feisal Salum amebainisha kuwa watarejea uwanjani wakiwa imara zaidi licha ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Simba. Ipo wazi kwamba kwenye Mzizima Dabi mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 9 2024 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Azam FC 0-3 Simba. Kiungo Fei Toto kwenye mchezo huo alikosa penalti baada…

Read More

TIMU SABA KUSHIRIKI BONANZA MAALUMU LA TECHNO AUDITORS

JUMLA ya timu saba za Maveterans zitashiriki katika bonanza maalum la mpira wa miguu litakalofanyika leo Jumapili (Julai 31, 2022) kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama. Bonanza hilo limeandaliwa na taasisi ya ukaguzi wa mahesabu, ushauri wa kifedha, biashara na masuala ya kodi  ya Techno Auditors kwa kushirikiana na timu ya Kijitonyama Veterans. Mkurugenzi Mtendaji wa…

Read More

MAKI KWENYE KIBARUA KINGINE

 BAADA ya kupoteza mchezo wa Ngao ya Jamii kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 2-1 Simba,kete ya kwanza kwa Kocha Mkuu,Zoran Maki kwenye ligi ni dhidi ya Geita Gold,utakaochezwa Jumatano, Uwanja wa Mkapa. Maki ana kibarua cha kuweza kuanza kusaka taji la Ligi Kuu Bara ambalo lipo mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha…

Read More