KAGERA SUGAR YAANZA KWA MWENDO WA KUSUASUA

FUNDO za walima miwa Kagera Sugar zinakatwa na wapinzani wao kila wanaposhuka uwanjani kwa kukwama kukomba pointi kwenye mechi mbili mfululizo za ligi ambazo ni dakika 180. Kagera Sugar chini ya Kocha Mkuu, Mecky Maxime kete yake ya kwanza ilikuwa Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma dhidi ya Mashujaa ilishuhudia ubao ukisoma Mashujaa 2-0 Kagera Sugar….

Read More

YANGA YAPENYA TANO CAF TIMU BORA

KLABU ya Yanga imetinga hatua ya tano bora kuwania tuzo ya klabu bora kwa wanaume kutoka CAF kwa mwaka 2023. Ikumbukwe kwamba Yanga kwenye Kombe la Shirikisho Afrika 2022/23 waligotea nafasi ya pili na katika ligi ya ndani walitwaa taji la Ligi Kuu Bara. Zama hizo ilikuwa inanolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi na kwa…

Read More

PABLO: TUTACHEZA KIBINGWA KWA MKAPA

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Jumapili dhidi ya RS Berkane, benchi la ufundi la timu hiyo linafanya maandalizi makubwa kuhakikisha si tu kwamba kikosi chao kinaibuka na ushindi dhidi ya Berkane, lakini pia kinatoa burudani ya kibingwa. Simba wanatarajia kuvaana na Berkane keshokutwa Jumapili katika mchezo wao…

Read More

AZAM FC V YANGA VITA YA DAKIKA 90

CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Azam FC utakuwa mgumu lakini wamefanyia kazi makosa waliyofanya kwenye mzunguko wa kwanza hasa katika mipira ya adhabu. Dakika 90 zitatoa majibu kwenye mchezo wa leo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu hizo mbli. Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa…

Read More

SIMBA WAIVUTIA KASI YANGA NGAO YA JAMII

MKUU wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba,Ahmed Ally ameweka wazi kuwa wanatafuta pumzi ya moto ambayo itashushwa Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wao wa Ngao ya Jamii. Simba imeweka kambi Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23 na wanatarajia kurejea Agosti 3 kwa ajili ya maandalizi ya Simba Day,Agosti 8.  Ally amesema…

Read More

MKUDE NDANI YA BUKOBA KAZI IPO

 LEGEND Jonas Mkude ni miongoni mwa nyota wa kikosi cha Simba ambao wapo kwenye msafara uliowea kambi Bukoba. Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba. Ikumbukwe kwamba Simba msimu wa 2021/22 ilinyooshwa bao 1-0 na Kagera Sugar katika mchezo uliochezwa…

Read More

JOHN BOCCO KWENYE KIBARUA KIGUMU SIMBA

 MSIMU wa 2021/22, nahodha wa Simba John Bocco ametupia mabao mawili kwenye Ligi Kuu Bara ambayo imekuwa na ushindani mkubwa. Bao lake la kwanza alifunga mbele ya Ruvu Shooting kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ilikuwa ni baada ya kupitia msoto wa muda mrefu bila kufunga. Bao lake la pili alifunga mbele ya Kagera Sugar,…

Read More

MWAMBA KASEKE BADO YUPO NDANI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE

NYOTA Deus Kaseke ni miongoni mwa wale watakaokuwa kwenye kikosi cha Singida Fountain Gate kwa ajili maandalizi ya msimu wa 2023/24. Timu hiyo kambi yake itakuwa Arusha baada ya mpango wa kuelekea Tunisia kusitishwa. Kaseke ni Legend ndani ya timu hiyo kutokana na uwezo wake kwenye eneo la kiungo na aliibuka hapo akitokea Yanga. Mchezo…

Read More

NAMUNGO YAKWAMA KUTAMBA MBELE YA YANGA

NGOMA imekamilika Uwanja wa Majaliwa ubao ukisoma Namungo 0-2 Yanga ambapo wenyeji wamekwama kutamba mbele ya wageni. Namungo walizidiwa ujanja kipindi cha kwanza kutokana na makosa ya kipa Jonathan Nahimana kwenye kuokoa pigo la faulo ya Aziz KI iliyokutana na Yannick Bangala dakika ya 40. Bao la pili, Nahimana katika harakati za kuokoa shuti la…

Read More

DABI YA WANAWAKE KARIAKOO NI MOTO

BAADA ya Desemba 22,2022 ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba Queens 1-1 Yanga Princes kesho kazi inatarajiwa kuwa nzito. Machi 22 kwa mara nyingine tena mchezo wa Dabi ya Kariakoo unatarajiwa kufanyika kwenye Uwanja wa Uhuru. Unakuwa ni mchezo wa mzunguko wa pili kwa watani hao kukutana ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania. Yanga…

Read More

ENDORPHINE FAIRYTALE -SHANGWE LA SLOTI DISEMBA HII! CHEZA NA UJISHINDIE ZAWADI KABAMBE ZA FEDHA!

Amini mwezi Desemba ni mwezi wa maajabu ya kujishindia mawindo yako kirahisi! Waandaaji wa michezo ya sloti Endorphine wanaopatikana Meridianbet pekee wanakuletea zawadi kibao za mkwanja. Meridianbet wanadhihirisha tena kuwa wao ndio sehemu pendwa kwa wachezaji wa sloti. Hii inachangiwa na promosheni nyingi ambazo wachezaji watafurahia Desemba hii. Endorphin’s FAIRY TALE ni ushaidi tosha! Kama…

Read More

KI AZIZ MIKONONI MWA MABOSI WA KARIAKOO

MSHAMBULIAJI wa ASEC Mimosas, Stephan Aziz KI anatajwa kuingia kwenye rada za mabosi wa Kariakoo. Nyota huyo amekuwa gumzo kutokana na uwezo wake wa kucheka na nyavu pamoja na kuwasumbua mebeki wa timu pinzani. Ni ametupia mabao matatu katika Kombe la Shirikisho Simba na Yanga zinatajwa kuwania saini yake. Nyota huyo aliwatungua Simba nje ndani…

Read More