
HII HAPA RATATIBA YA SIMBA FEBRUARI, VIGONGO BALAA
NDANI ya Februari Simba itakuwa na mechi za tano za Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni ligi namba nne kwa ubora ikiwa inadhaminiwa na NBC. Ni dakika 450 za msako wa pointi 15 ndani ya ligi ambapo kwa sasa Simba ipo nafasi ya pili kwenye msimamo ikiwa na pointi 40 baada ya kucheza mechi 15…