LIGI KUU BARA: YANGA 1-0 COASTAL UNION
FT: LIGI Kuu Bara Mzunguko wa pili, Uwanja wa Azam Complex Yanga 1-0 Coastal Union. Joseph Guede Goal dakika ya 76. Mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Azam Complex ni kipindi cha pili ambapo timu zote mbili zinapambana kusaka ushindi. Dakika 45 za mwanzo timu zote mbili zimekwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wakiwa…