
KIPA CAMARA ATUMA UJUMBE HUU
MLINDA mlango namba moja wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Moussa Camara amesema kuwa bado kazi inaendelea kimataifa watapambana kufanya kweli na kupata matokeo katika mechi zijazo. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos, uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Novemba 27 2024 Camara aliokoa penati dakika…