HAWA HAPA KUPAMBANA ROBO FAINALI CRDB FEDERATION CUP
BAADA ya timu 8 kupata ushindi na kutinga hatua ya robo fainali CRDB Federation Cup tayari kila mmoja katambua atacheza na nani katika msako wa ushindi kuelekea hatua ya nusu fainali. Ipo wazi kwamba mabingwa watetezi ni Yanga hawa wanatarajiwa kumenyana na Tabora United nyuki wa Tabora katika hatua ya robo fainali. Matajiri wa Dar,…