SALEH JEMBE: ‘NI KOSA KUMLINGANISHA CHAMA NA PACOME – KWELI MO DEWJI ASHUKURIWE YANGA KUFUZU

Mchambuzi na mwandishi nguli wa michezo, Saleh Ally amefanya mahojiano na baadhi ya waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa kiwango alichonacho Clatous Chama mchezaji wa Simba hakilinganishwi na cha Pacome mchezaji wa Yanga. Saleh ameendelea kuwaambia waandishi hao kuwa Chama ameipeleka Simba robo fainali mara kadhaa na amefanya makubwa sana kwa upande wa soka la…

Read More

YANGA HESABU ZIMEHAMIA HUKU SASA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi wamebainisha kuwa mpango mkubwa ni kupata matokeo kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Kagera Sugar. Huo utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Yanga inayonolewa na Gamondi ambaye alikuwa katika kikosi msimu wa 2023/24 na kushuhudia timu ikigotea nafasi ya kwanza na…

Read More

MBEBA MIKOBA YA CHAMA KWENYE MTEGO SIMBA SC

KIUNGO wa Simba SC, Deborah Mavambo ambaye ni ingizo jipya katika kikosi hicho kwa msimu uliogota mwisho wa 2024/25 yupo kwenye mtego ndani ya kikosi hicho kutokana na kiwango chake kuporomoka mwanzo mwisho. Nyota huyo kwenye mechi za awali alianza kuonyesha ubora wake lakini kadri siku zilivyokuwa zinazidi uwezo wake ulikuwa unaporomoka. Atakumbukwa kwenye mchezo…

Read More

Mchezo wa Kasino Mafia Clash, Kutana na Mwamba Anayelipa Zaidi

Tunakuletea mpambano wa mafia ambapo utakutana na bonasi za kasino zisizoweza kushindwa. Ni wakati wa kuchagua upande utakaokupeleka kwenye mizunguko ya mara nyingi. Furahia sherehe ya kipekee. Mafia Clash ni mchezo wa kasino ya mtandaoni inaotoa bonasi kibao kwa wachezaji, sloti hii imetengenezwa Hacksaw Gaming. Mchezo huu kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni una thamani inayoweza…

Read More

MAN U YASEPA NA POINTI TATU KUBWA

MANCHESTER United inayonolewa na Kocha Mkuu, Ten Hag imesepa na pointi zote tatu muhimu dhidi ya Aston Villa. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Old Trafford ubao umesoma Manchester United 1-0 Aston Villa. Bao pekee la ushindi limefungwa na Bruno Fernandez dakika ya 39 kipindi cha kwanza na kuimaliza kazi mapema. United inafikisha pointi 63 nafasi…

Read More

AZAM FC KAMILI KUPEPERUSHA BENDERA KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Azam FC wamebainisha kwamba wapo tayari kwa mchezo wao kesho hatua ya awali dhidi ya APR. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex ambapo Azam FC itawakaribisha APR kutoka Rwanda kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kocha Mkuu wa Azam FC, Bruno Ferry amesema…

Read More

KMC WAPANIA KUIZUIA SIMBA KWA NAMNA YOYOTE

UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa kwa namna yoyote ile utawazuia Simba SC kuvuna pointi tatu kwenye mchezo wa mzunguko wa pili unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. Ikumbukwe kwamba awali mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Mei 11 2025 ulipangwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora na maandalizi yalianza kufanyika. Umerejeshwa Dar, Uwanja wa KMC…

Read More

BREAKING:OLE GUNNAR AFUTWA KAZI MANCHESTER UNITED

RASMI leo Novemba 21 Klabu ya Manchester United imethbitisha kuachana na Ole Gunnar Solskjaer ambaye ataondoka ndani ya timu hiyo kwenye majukumu ya kuwa kocha baada ya kushindwa kushinda taji lolote ndani ya miaka mitatu na Michael Carrick atachukua mikoba yake kwa muda kabla ya kocha mpya kuchaguliwa atakayemaliza msimu huu wa 2021/22. Solskjaer alisaini…

Read More

ADEMOLA LOOKMAN ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA SHIRIKISHO LA SOKA AFRIKA (BALLON D’OR)

Mshambuliaji wa klabu ya Atalanta ya Italia na timu ya taifa ya Nigeria, Ademola Lookman ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Shirikisho la soka Afrika (Ballon d’or) kwenye tuzo za CAF zilizofanyika Mjini Marrakesh , Morocco. Lookman (27) amewashinda Simon Adingra wa Ivory Coast, Serhou Guirassy wa Guinea, Achraf Hakimi wa Morocco na…

Read More

ABRAMOVICH APEWA RUKSA KUIWEKA SOKONI CHELSEA

ROMAN Abramovich na Serikali ya Uingereza imeripotiwa kwamba wamefikia makubaliano kwa ajili ya suala la mauzo ya timu ya Chelsea. Serikali inaelezwa kuwa inazingatia suala la timu hiyo kuwekwa sokoni ili kuweza kupata matokeo mazuri kwa ajili ya Chelsea. Kampuni ya Raine Group imeelezwa kuwa imepewa ruhusa ya kuendelea na mchakato wa kusaka mshindani ambaye…

Read More

MWAMBA WA KAZI ATUMA UJUMBE AL AHLY

MWAMBA wa kazi Shomari Kapombe amebainisha kuhusu mpango kazi kuhusu mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Machi 29 2024. Kapombe ameweka wazi kuwa wanatambua kwamba ushindani ni mkubwa na watafanya kazi kubwa kupambana kupata matokeo chanya

Read More