MANCHESTER UNITED YAPIGWA 5 G
MOHAMED Salah Mwafrika ambaye anawatesa Wazungu ndani ya Ligi Kuu England pamoja na mashindano mengine kwa sasa yeye ni wakucheka na minyavu tu ameongoza kilio leo kuelekea Manchester United. Kwenye mchezo wa Ligi Kuu England ambao umechezwa leo Uwanja wa Old Trafford ubao umesoma Manchester United 0-5 Liverpool. Mabao ya Naby Keita ambaye alifungua pazia…