
WAJUMBE BODI YA WAKURUGENZI YA SIMBA UPANDE WA MO WADAIWA KUJIUZURU
Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya klabu ya Soka ya Simba ni kwamba, wajumbe wote wa bodi ya wakurugenzi kutoka upande wa Mwekezaji Mohamed Dewji ni kwamba wanadaiwa kujiuzuru huku sababu ikiwa haijulikani Taarifa zinadai kuwa wajumbe wote wamejiuzuru kasoro mwenyekiti wa Bodi hiyo Salim Abdallah ‘Try Again’, huku tasrifa zikisema amegoma kufanya hivyo Bado…