
YANGA YATUMA UJUMBE HUU KAGERA SUGAR
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba unahitaji pointi tatu kwenye mchezo wa leo dhidi ya Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Hassan Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kwamba wanahitaji kupata pointi tatu mbele ya Kagera Sugar kwa kuwa mchezo ni mgumu na wanaamini watapata ushindi. “Mchezo wetu dhidi ya Kagera Sugar utakuwa…