
KOCHA CHELSEA ATAKA ALAUMIWE YEYE
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Chelsea, Thomas Tuchel ameweka wazi kuwa kipa wake Kepa Arrizabalaga hapaswi kulaumiwa kwa kukosa penati na hawezi kujutia kwa nini alimpa nafasi dakika za mwisho. Katika fainali ya Carabao Cup iliyopigwa juzi Uwanja wa Wembeley, Kepa alikosa penati na kuipa nafasi Liverpool kutwaa taji hilo kwa ushindi wa penalti 11-10…