
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano, Februari 2
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano, Februari 2
Huhitaji kuwa ‘serious’ sana unapovinjari viunga vya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Ushindi unaenda sambamba na burudani. Mchezo wa Aviator, ni mchezo rahisi unaokupa nafasi kubwa ya ushindi na kukuhakikishia burudani mwanzo mpaka mwisho. Mchezo huu ni kama kuwepo mawindoni hivi, unamuwinda mnyama unayempenda sana na hauwezi kulala bila kumpata. Lakini, unafurahia windo lako…
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu za Taifa za Wanawake, Bakari Shime amesema kuwa wana imani ya kupata matokeo katika mchezo wa marudio dhidi ya Ethiopia. Shime yupo na kikosi kazi cha Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite na inatumia Uwanja wa Black Rhino kufanyia mazoezi. Kwa sasa timu hiyo imeweka…
ARSENAL imekubali kumuacha nyota wake Pierre Aubameyang ajiunge na Barcelona bure ili aweze kupata changamoto mpya wakati mwingine akisepa ndani ya Ligi Kuu England. Auba mwenye miaka 32 anaondoka ndani ya kikosi hicho ikiwa ni muda mfupi baada ya kuvuliwa kitambaa cha unahodha. Mshambuliaji huyo hakuweza kucheza katika timu hiyo tangu Desemba 6 2021. Anasepa…
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga kwa sasa wanaipigia hesabu Mbeya City kuelekea kwenye mchezo wao ujao wa ligi. Februari 5 Uwanja wa Mkapa Yanga yenye pointi 35 ikiwa nafasi ya kwanza inatarajiwa kumenyana na Mbeya City. Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddien Nabi amesema kuwa ambacho wanahitaji kwenye mchezo huo ni pointi tatu. “Kikubwa…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne Februari Mosi,2022.
PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake kwa sasa wamekosa hali ya kujiamini kutokana na kushindwa kufunga kwenye mechi tatu mfululizo jambo ambalo linafanyiwa kazi. Kwa sasa kwenye ligi Simba imekusanya pointi 25 ikiwa nafasi ya pili na imefunga mabao 14 huku Yanga ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 35 na imetupia jumla…
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa KMC ameweka wazi kuwa miongoni mwa sababu ambazo zimewafanya washindwe kusonga mbele katika hatua ya 16 bora kwenye Kombe la Shirikisho ni pamoja na tatizo la pancha ambalo liliwakuta wakiwa njiani. Kutolewa kwa timu hiyo katika hatua hiyo kumeyeyusha ndoto ya timu hiyo kuweza kuipeperusha Tanzania kimataifa kwa sababu bingwa…
MATUKIO ambayo yamekuwa yakitokea kwenye mechi uwanjani yapo yanayokera na yanayofurahisha lakini muhimu kila mmoja kuwa makini katika kutekeleza majukumu yake. Tumeona kwamba kuna wachezaji ambao wamekuwa wakitumia nguvu kubwa nah ii inatokana na hasira lakini kwa namna yoyote ile ni lazima kila mchezaji kuwa mlinzi wa mchezaji mwenzake. Kwa timu ambayo itakosa kupata matokeo…
MEDDIE Kagere mshambuliaji namba moja kwa kutupia ndani ya Simba kwa msimu wa 2021/22 ndani ya ligi akiwa ametupia mabao manne na pasi moja ameyeyusha dakika 414 bila kufunga. Novemba 19,2021 ilikuwa Uwanja wa CCM Kirumba na Simba iliweza kushinda mabao 3-1 na kusepa na pointi tatu mazima. Leo, Kagere anatimiza siku ya 74 bila…
HAMIS Kiiza (Diego) ndiye aliyebaki kwenye kumbukumbu mbaya kwenye vitabu vya Simba baada ya kuwafungia Kagera Sugar bao 1-0 na Simba kukosa alama tatu kwenye mechi tatu mfululizo. Kiiza aliingia dakika ya 58 kuchukua nafasi ya Ally Ramadhan na ilimchukua dakika 12 pekee kuweza kuweka utofauti wa matokeo kwenye mchezo huo. Kwa bao lake hilo…
KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Mathias Lule, ameitahadharisha Yanga, kuwa isitarajie kupata mteremko katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, watakapokutana Februari 5 kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam. Mbeya City, wapo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 22 kibindoni huku wakiwa wameshuka uwanjani mara 13 wakiwa…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ushindi wa bao 1-0 walioupata dhidi ya Mbao FC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba ni hatua nzuri kuwania Kombe la Shirikisho la Azam ambalo msimu uliopita walipoteza katika mchezo wa fainali. Taji hilo lipo mikononi mwa Simba inayonolewa na Pablo Franco nayo imetinga hatua ya 16 bora kwa…
KAMPUNI ya michezo na burudani Sportpesa inayo furaha kutambulisha kwa Watanzania, huduma yake mpya ya Multibet Bonus kwa wachezaji wake wote nchini. Bidhaa hii ni ya kwanza na ya kipekee kwa wachezaji wao kutokana na kiwango cha asilimia ambacho mteja atakuwa anakipata baada ya kuweka ubashiri wake kwa mechi kuanzia 3. Sportpesa imefungua mwaka kwa…
SVEN Vandenbroec, Kocha Mkuu wa Klabu ya FAR Rabat ya Morocco amefanikiwa kutwaa tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu ya Morocco msimu wa 2020/21. Sven aliwahi kuwa kocha wa Simba ya Tanzania na aliongoza timu hiyo kwa mafanikio makubwa kwa kipindi cha mwaka mmoja aliachana na Simba, Januari 6,2021. Aliweza kuifikisha timu hiyo katika…
KOCHA Mkuu wa Yanga, raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, amenogewa na ubora wa wachezaji wazawa aliowasajili katika dirisha dogo huku akipanga kusimamisha usajili wa nyota wa kigeni katika msimu ujao. Baadhi ya wachezaji wazawa waliosajiliwa katika dirisha dogo ni Aboutwalib Mshery, Denis Nkane, Chrispin Ngushi na Salum Aboubakari ‘Sure Boy’. Wachezaji hao wote wamesajiliwa kwa…
LICHA ya kuwa nyuma jana mbele ya Morocco kwa bao lililofungwa dakika ya 6 na Soufiane Boufal Misri iliweza kupindua meza na kuibuka na ushindi. Baada ya dakika 90 kukamilika Misri iliweza kushinda mabao 2-1 na kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe Afcon 2021. Ni Mohamed Salah aliweza kusawazisha dakika ya 56 kisha mchezo…