Hizi hapa mechi tatu za Romain Folz Yanga SC
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/25 Yanga SC wana dakika 270 za kazi ndani ya Oktoba kwa mechi tatu za ushindani uwanjani. Hizo ni mechi tatu za kazi kwa Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz ambaye amekiongoza kikosi hicho kwenye mechi sita bila kuambulia kipigo. Kwenye mechi hizo sita, tanoFolz alishuhudia Yanga…