
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
NGOMA iliyopigwa kiume katika hatua ya makundi imekamilika na kila timu kugawana pointi mojamoja. Alianza Wilfred Gbeuli dk 11 kumtungua Aishi Manula kutokana na makosa ya safu ya kiungo na ulinzi ya Simba kufanya makosa. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco ilikwenda mapumziko ikiwa imetunguliwa bao moja na ilipiga shuti moja lililolenga lango kati…
UKURASA unaendelea kufunguliwa hasa katika anga za kimataifa ilikuwa ni baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas leo kwa mara nyingine tena kuna jambo litatokea baada ya dakika 90. Leo ni leo, wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Kimataifa, Simba wanatarajiwa kusaka pointi tatu mbele ya USGN ya Niger na tayari kikosi…
JOHN Bocco, Nahodha wa Simba, amesema hawatawaangusha Watanzania kwenye mashindano ya kimataifa kwa kuwa wapo vizuri na watapambana bila kuchoka. Simba ikiwa Kundi D la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, leo Jumapili inatarajiwa kutupa kete yake ya pili mbele ya US Gendarmerie, mechi ikichezwa nchini Niger “Tunajua kwamba mchezo utakuwa mgumu na kila timu inahitaji ushindi nasi tutapambana kushinda. “Kwa upande wa ushindi hata…
KIKOSI cha Simba kitakachoanza dhidi ya USGN ya Niger:- Aishi Manula Shomari Kapombe Mohamed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Erasto Nyoni Yusuph Mhilu Sadio Kanoute Meddie Kagere Sakho Peter Banda
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Azam FC, Abdi Hamid Moalin, amesema bado hajaipata Azam anayoitaka na ubora wa kikosi chake kwa sasa hauzidi asilimia 65 hivyo bado jambo lao ni kusaka uimara kwa asilimia kubwa. Moalin amefunguka kuwa kuna levo ya ubora ambayo anahitaji kuiona kwenye timu yake, jambo ambalo bado analifanyia kazi kwa sasa…
KUREJEA kwa Pape Ousmane Sakho ambaye aliumia katika mchezo dhidi ya ASEC Mimosas na kuimarika kwa kiwango cha winga Peter Banda, kumempa kiburi Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco kufanya vizuri katika mchezo wa leo Jumapili dhidi ya Union Sportive Gendarmerie Nationale ya nchini Niger. Simba leo Jumapili wanatarajiwa kumenyana na Union Sportive Gendarmerie Nationale katika mchezo wa pili wa Kundi D ndani ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa kwenye Dimba la Général Seyni…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amesema kuwa kukosekana kwa wachezaji wake zaidi ya saba katika kikosi chake, kunamvurugia mipango ya ushindi kuelekea michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC). Hiyo ni baada ya kuongezeka kwa majeruhi katika kikosi chake ambao ni Mkongomani, Jesus Moloko aliyeshindwa kumalizia mchezo…
WAKIWA na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho ambao ni wa makundi wawakilishi wa Tanzania, Simba watawakosa wachezaji wao watano ambao wamehusika katika kupatikana kwa mabao 11. Ni mchezo wa pili dhidi ya USGN ya Niger katika kundi D baada ya ule wa kwanza dhidi ya ASEC Mimosas kuweza kushinda kwa…
AISHI Manula, kipa namba moja wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya USGN ya Niger. Simba inakibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya USGN ikiwa ni mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi. Timu zote zipo kundi D ambalo kinara ni RS Berkane mwenye pointi tatu akiwa…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba upo tayari kwa ajili ya mchezo wao ujao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar. Ikiwa ni namba moja katika msimamo na pointi 36 baada ya kucheza mechi 14 kituo kinachofuata ni Manungu. Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa hawana hofu na mchezo huo kwa kuwa maandalizi yapo…
KAZI ya Mungu haina makosa na tunapaswa kumshukuru kwa kila jambo ambalo linatokea kwenye maisha yetu ya kila siku kwa kuwa yeye ni muweza wa kila kinachotokea. Hakuna ambaye anaijua kesho hivyo kwa muda ambao upo kwa wakati huu kila mmoja anajukumu la kutimiza yale yanayofaa bila kuchoka. Wanafamilia,ndugu na jamaa katika kipindi hiki kigumu…
MTIBWA Sugar imethibitisha kuwa muda wowote kuanzia sasa, itaanza kumtumia winga wao raia wa DR Congo, Deo Kanda baada ya kila kitu kukamilika. Thobias Kifaru,Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa walikuwa wanashindwa kumtumia nyota huyo kwa sababu kuna vitu kuhusu uhamisho wake vilikuwa havijakamilika ila kwa sasa kila kitu kipo sawa. Ikumbukwe kwamba nyota…
HATUA kubwa ambayo mmefanya kwa ushindi kwenye mchezo wa kwanza Uwanja wa Mkapa mnastahili pongezi wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho. Simba hamjafanya jambo dogo kwa kushinda mabao 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas Uwanja wa Mkapa hakika mnastahili pongezi lakini ukweli ni kwamba kazi ndiyo kwanza inaanza. Vigongo ambavyo vinakuja kwenu ni vikubwa na…
KICHAPO cha mabao 4-0 walichokipata Fountain Gate mbele ya JKT Tanzania katika mchezo wa Championship kimeotesha mbawa kibarua cha Ulimboka Mwakingwe aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo pamoja na kocha wa magolikipa Kibwana Nyongoli. Mbali na benchi la ufundi pia kandarasi za wachezaji wawili zimesitishwa ikiwa ni kwa Tony Kavishe na Khalifa Mwande kwa makubaliano…
BAADA ya kucheza mechi 16 bila kupoteza ambazo ni dakika 1,440 Klabu ya DTB ilinyooshwa bao 1-0 dhidi ya Green Warriors FC ambao waliweza kutibua rekodi hiyo katika mchezo wa 17 uliochezwa Uwanja wa Azam Complex ilikuwa ni Februari 13 kwenye Championship. Wakati huu inajipanga kwa ajili ya mchezo ujao dhidi ya African Sports unaotarajiwa…