
NABI:CHICO MTAMUELEWA TU,ATAFANYA KAZI VIZURI
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wale wanaosema kuhusu mchezaji wao mpya Chico Ushindi watamuelewa tu kwa sababu hakusajiliwa kwa makosa. Chico ambaye ni ingizo jipya kwenye dirisha dogo mechi mbili za ligi amecheza na kutumia dakika 19. Nabi amesema kuwa anasikia wengi wanazungumza kuhusu uwezo wa Chico na kwa nini hachezi hilo…