
YANGA WAMTEMBELEA ALLY YANGA
UONGOZI wa Yanga jioni ya Machi 3,2022 waliweza kumtembelea mtoto Ally Kimara maarufu kama Ally Yanga ambaye ni shabiki wa Yanga na mchezaji ambaye anampenda ni Fiston Mayele. Viongozi wa Yanga waliweza kufanya dua pia na Ally Yanga katika na kumuombea dua njema na kusema kuwa haitakuwa mwisho kutenda matendo ya huruma. Haji Manara, Ofisa…