
RATIBA YA SIMBA MACHI NI BALAA
BAADA ya wawakilishi wa Tanzania kimataifa Simba kurejea salama Dar wakitokea Morocco wana vigongo vya moto ndani ya Machi kutimiza majukumu ya kusaka ushindi. Ikumbukwe kwamba Februari 27 walinyooshwa mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane ya Morocco katika mchezo wa kundi D kituo kinachofuata ni dhidi ya Biashara United. Mchezo huo wa ligi unatarajiwa kuchezwa…