KICHUYA AWEKA REKODI YAKE BONGO

SHIZA Ramadhan Kichuya staa wa Namungo jana amefunga mabao matatu kwenye mchezo wa ligi na kufanya aweze kufunga hat trick kwenye mchezo huo ikiwa ni ya pili ndani ya ligi. Kichuya alifunga mabao hayo ilikuwa dk ya 23,50 kwa mkwaju wa penalti na lile la tatu ilikuwa dk ya 66 kwenye ushindi wa mabao 4-2…

Read More

WAAMUZI UMAKINI UNAHITAJI KWENYE MAAMUZI

UNAONA mzunguko wa kwanza ulianza kwa kelele nyingi kutokana na waamuzi kuoneana wakifanya maamuzi ambayo yalikuwa yanaleta utata kwa wachezaji pamoja na mashabiki kushindwa kuelekewa kinachoendelea. Matukio ya kushindwa kutafsri sheria 17 yalikuwa yakiwapeleka mara kwa mara kwenye kamati za maadili kisha wakirejea wanaendelea kuwa kwenye ubor wao. Hii inamaanisha kwamba waamuzi tulioano uwezo wanao…

Read More

MORRISON AANZA KUPIGA TIZI KWA SIRI

HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga, kuwa kiungo wao mshambuliaji Mghana, Bernard Morrison ameanza mazoezi ya binafsi ya siri kimyakimya. Mghana huyo yupo nje ya uwanja kwa miezi miwili akiuguza maumivu ya nyonga ambayo aliyapata mara baada ya kurejea nchini akitokea kwao Ghana alipokwenda kwa ajili ya matatizo binafsi. Staa huyo ameachwa katika msafara wa…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE SIO KINYONGE

UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa kwa msimu wa 2024/25 wataanza kazi kwa nguvu na sio kinyonge kwenye mechi tano za mwanzo ndani ya Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba msimu wa 2023/24 haukuwa bora kwa timu hiyo iliyogotea nafasi ya 11 baada ya mechi 30 ilikomba pointi 33 ilishinda mechi 8 iliambulia…

Read More

YANGA NA SIMBA MWENDO WA FAINI, ADHABU YA CHAMA NDOGO

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu nchini imezitoza faini Simba na Yanga kutokana na kosa la kuingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kupitia milango isiyo rasmi siku ya mchezo wa KariakooDerby uliyochezwa April 20, 2024. Kutokana na kosa hilo kamati imeitoza Yanga SC Shilingi milioni tano (5,000,000) baada ya…

Read More

SIMBA KUINASA SAINI YA NYOTA HUYU

INAELEZWA kuwa Edwin Balua ambaye ni winga yupo kwenye hesabu za kusjiliwa na mabosi wa Simba. Kwa sasa kikosi cha Simba kimeweka kambi Zanzibar ambapo kinashiriki Mapinduzi Cup 2024 na leo Ijumaa kinatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka ushindi dhidi ya APR. Nyota huyo anatajwa kufikia kwenye hatua nzuri ya kusaini dili la miaka miwili…

Read More

MASTAA SIMBA WAPEWA KAZI KUBWA KIMATAIFA

KUELEKEA kwenye mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas nyota wa Simba wamepewa zigo zito kuhakikisha wanapata matokeo chanya kwenye mchezo huo. Ipo wazi kuwa katika mechi mbili zilizopita za ligi wachezaji wa Simba walipata matokeo yenye maumivu. Katika mchezo wa Kariakoo Dabi Novemba 5 ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga…

Read More

KIMATAIFA SIMBA YAPIGA MASHUTI 20

NYOTA wa Simba wanaonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi mbele ya USGN rekodi zinaonyesha kwamba walipiga mashuti 20 langoni kwa wapinzani wao. Haikuwa kazi rahisi kwa Simba kuweza kufanikisha lengo lao kwa kuwa kipindi cha kwanza safu ya ushambuliaji ilikosa umakini ndani ya dakika 45 licha…

Read More

SIMBA QUEENS WAIPIGA BITI YANGA PRINCES

JOTO la mechi ya Watani wa Jadi kwa upande wa soka la wanawake limezidi kutanda ambapo Yanga Princess watakuwa wenyeji wa Simba Queens katika mchezo utakaopigwa keshokutwa Jumamosi kwenye Dimba la Uhuru, Dar. Kuelekea mchezo huo wa raundi ya nne kunako Ligi Kuu ya Wanawake, Kocha Mkuu wa Simba Queens, Sebastian Nkoma ametamba kuendeleza rekodi…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE YACHOMOA MAJEMBE YA YANGA NA SIMBA

SINGINDA Fountain Gate imewatambulisha majembe mapya yatakaokuwa ndani ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu wa 2023/24. Miongoni mwa nyota wapya ni wale waliokuwa ndani ya Simba na Yanga kwa msimu wa 2022/23. Ukiweka kando Joash Onyango ambaye alikuwa ndai ya Simba pia wamemtambulisha mshambuliaji Habib Kyombo na amepewa jezi namba 10. Mwamba mwingine ni…

Read More

NABI HUYO MPANGO WAKE HUU HAPA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa anahitaji kushinda kwenye mechi zake zote ikiwa ni pamoja na dabi mbili mbele ya Azam FC na Simba. Aprili 6, Yanga itamenyana na Azam FC Uwanja wa Azam Complex kisha itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Simba Aprili 30. Akizungumza na Spoti Xtra,Nabi…

Read More